Makamu wa rais nchini Gambia Isatou
Njie-Saidy amejiuzulu saa chache kabla ya muda wake wa kuongoza kutimia
,AFP imenukuu duru za familia yake.
Waziri wa mazingiura na elimu
ya juu pia alijiuzulu,ikiwa ni msururu wa mawazuri kumtoroka bw Jammeh
kufuWakati huohuo wakili wa rais Yahya Jammeh ametorokea nchini Senegal
baada ya kumuandikia barua rais Jammeh akimtaka kuachilia mamlaka
gazeti la Nigeria Primium times limesema.Edu Gomez alisema kuwa amemfanyia kazi Jammeh chini ya shinikizo chungu nzima .
atia hatua yake ya kukataa kujiuzulu baGazeti hilo pia limenukuu barua hiyo ikisema: Siku ya Jumanne tarehe 17 mwezi Januari 2017, mwanangu na mimi tulifanya uamuzi muhimu kutafuta hifadhi katika taifa jirani la Senegal.Hatua hii tuliona ni muhimu kutokana hofu inayoendelea kutanda na wasiwasi kila wakati.
BBC hatahivyo haijapata uthibitisho huru wa ripoti hiyo.
Bw Gomez alimwakilisha Jammeh katika harakati za kufutilia mbali ushindi wa kiongozi wa upinzani Adama Barrow katika uchaguzi wa tarehe mosi Disemba.
ada ya zaidi ya miongo miwili afisini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni